Back to Search

Maisha niliyochagua mimi mwenyewe

AUTHOR Gabriele
PUBLISHER Gabriele Publishing House (07/03/2023)
PRODUCT TYPE Paperback (Paperback)

Description

Mada ya kitabu hiki inamaanisha nini ? Maisha ni nini kwa kweli? Kwa nini kila mtu ana maisha isiyo na kifani ? Je, kwa kweli, bahati ipo ? Sababu gani nilizaliwa katika familia hii bali si katika nyingine yote ile ? Kwa nini ninakutana tu na aina fulani ya watu ? Je ninakabiliwa na majaliwa yangu ? Ni nani aliyepangilia tangu awali matukio ya maisha yangu ? Ni vipi ninaweza kubadili mpangilio huo ?

Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu anatoa maelezo kitabuni humu kwamba uzima ni zaidi ya yale tunayohisi kwa jumla. Anatusaidia kuelewa kwa kina matukio ya maisha yetu na anatufundisha jinsi ya kubadili mwelekeo wao.

Vipengele vya mambo yaliyomo:

  • Mungu ni uzima usio na mwisho na wa milele ambamo ulimwengu ulitokea.
  • Uajibikaji wa mwanadamu kuhusu mwenendo, maadili yake, mwelekeo wa maisha yake, kuhusu madhara makali inayompata na tena kuhusu nafsi yake katika makao ya nafsi.
  • Kanuni ya sababu
  • Kuelewa na kuchanganua maelekezo itolewayo na nguvu za mchana
  • Faidika na siku zako.

Show More
Product Format
Product Details
ISBN-13: 9783964464101
ISBN-10: 3964464104
Binding: Paperback or Softback (Trade Paperback (Us))
Content Language: Swahili
More Product Details
Page Count: 64
Carton Quantity: 128
Product Dimensions: 5.00 x 0.13 x 7.00 inches
Weight: 0.14 pound(s)
Country of Origin: US
Subject Information
BISAC Categories
Unassigned | Mindfulness & Meditation
Unassigned | Prophecy
Unassigned | Afterlife & Reincarnation
Descriptions, Reviews, Etc.
publisher marketing

Mada ya kitabu hiki inamaanisha nini ? Maisha ni nini kwa kweli? Kwa nini kila mtu ana maisha isiyo na kifani ? Je, kwa kweli, bahati ipo ? Sababu gani nilizaliwa katika familia hii bali si katika nyingine yote ile ? Kwa nini ninakutana tu na aina fulani ya watu ? Je ninakabiliwa na majaliwa yangu ? Ni nani aliyepangilia tangu awali matukio ya maisha yangu ? Ni vipi ninaweza kubadili mpangilio huo ?

Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu anatoa maelezo kitabuni humu kwamba uzima ni zaidi ya yale tunayohisi kwa jumla. Anatusaidia kuelewa kwa kina matukio ya maisha yetu na anatufundisha jinsi ya kubadili mwelekeo wao.

Vipengele vya mambo yaliyomo:

  • Mungu ni uzima usio na mwisho na wa milele ambamo ulimwengu ulitokea.
  • Uajibikaji wa mwanadamu kuhusu mwenendo, maadili yake, mwelekeo wa maisha yake, kuhusu madhara makali inayompata na tena kuhusu nafsi yake katika makao ya nafsi.
  • Kanuni ya sababu
  • Kuelewa na kuchanganua maelekezo itolewayo na nguvu za mchana
  • Faidika na siku zako.

Show More
List Price $10.99
Your Price  $10.88
Paperback