Back to Search

Njama

AUTHOR Musiba, E. a.
PUBLISHER Mkuki na Nyota Publishers (11/19/2018)
PRODUCT TYPE Paperback (Paperback)

Description

Mpelelezi mashuhuri wa Afrika, Mtanzania, Willy Gamba, akiwa likizoni huko Afrika Magharibi, jijini Freetown, Sierra Leone, anatumiwa ujumbe wa haraka arudi upesi nchini kwani kumetokea hujuma kubwa.

Kutokana na uzalendo wake hapotezi muda, hima anarejea nchini. Chifu wake anamweleza kuwa shehena kubwa ya silaha za kivita ambazo ni mali ya wapigania uhuru wa kusini mwa Afrika, imeibiwa bandarini katika mazingira ya kutatanisha.

Habari hizi zinaleta utata mwingi, baadhi ya nchi zikisema ni njama za Makaburu, na nyingine zikisema ni njama za Tanzania.

Katika kiza kinene kinachozunguka suala hili, serikali ya Tanzania inamtuma Willy Gamba kuwasaka majasusi hawa. Hapo ndipo patashika zinaanza na jiji la Dar es Salaam linakumbwa katika wimbi la msukosuko wa uhaini, usaliti, na mauaji ya kikatili...

The four books in this series of detective novels, written in Swahili, were authored by the late Aristablus Elvis Musiba. The novels follow the exploits of Willy Gamba, an elite special operations Tanzanian intelligence officer. Set in various locations in Africa Willy is dispatched to neutralise agents within the Apartheid Regime as well as saboteurs, who are out to destroy those involved with the liberation struggles being waged in Southern Africa.

Show More
Product Format
Product Details
ISBN-13: 9789987083237
ISBN-10: 9987083234
Binding: Paperback or Softback (Trade Paperback (Us))
Content Language: Swahili
Edition Number: 0002
More Product Details
Page Count: 194
Carton Quantity: 40
Product Dimensions: 5.06 x 0.41 x 7.81 inches
Weight: 0.43 pound(s)
Country of Origin: US
Subject Information
BISAC Categories
Unassigned | Thrillers - Espionage
Descriptions, Reviews, Etc.
publisher marketing

Mpelelezi mashuhuri wa Afrika, Mtanzania, Willy Gamba, akiwa likizoni huko Afrika Magharibi, jijini Freetown, Sierra Leone, anatumiwa ujumbe wa haraka arudi upesi nchini kwani kumetokea hujuma kubwa.

Kutokana na uzalendo wake hapotezi muda, hima anarejea nchini. Chifu wake anamweleza kuwa shehena kubwa ya silaha za kivita ambazo ni mali ya wapigania uhuru wa kusini mwa Afrika, imeibiwa bandarini katika mazingira ya kutatanisha.

Habari hizi zinaleta utata mwingi, baadhi ya nchi zikisema ni njama za Makaburu, na nyingine zikisema ni njama za Tanzania.

Katika kiza kinene kinachozunguka suala hili, serikali ya Tanzania inamtuma Willy Gamba kuwasaka majasusi hawa. Hapo ndipo patashika zinaanza na jiji la Dar es Salaam linakumbwa katika wimbi la msukosuko wa uhaini, usaliti, na mauaji ya kikatili...

The four books in this series of detective novels, written in Swahili, were authored by the late Aristablus Elvis Musiba. The novels follow the exploits of Willy Gamba, an elite special operations Tanzanian intelligence officer. Set in various locations in Africa Willy is dispatched to neutralise agents within the Apartheid Regime as well as saboteurs, who are out to destroy those involved with the liberation struggles being waged in Southern Africa.

Show More
List Price $21.95
Your Price  $21.73
Paperback